Bodi ya ukaguzi wa Filamu ni Taasisi ya serikali iliyoundwa kwa mujibu wa sheria ya Filamu na michezo ya Kuigiza na.4 ya Mwaka 1976
Filamu ni zao la picha za sinema iwe inayotoa sauti au hapana, iliyotengenezwa kwa chombo cha kupiga picha kama hizo au kwa chombo kingine kama hicho.
Bodi ya ukaguzi wa Filamu ipo chini ya Wizara Ya Habari ,Vijana na Utamaduni na Michezo.

DIRA
Kuwa na Tasnia ya Fillamu na Michezo ya kuigiza yenye ushindani,inayochangia maendeleo ya nchi na kupunguza umasikini.
LENGO KUU
Kuwa na Tasnia ya Filamu inayozingatia maadili ya kitanzania , yenye 
.

0 comments :

Post a Comment